Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifuatilia filamu fupi inayoonyesha fursa za kiuchumi zinazopatikana Tanzania kabla ya kufungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Balozi wa Tanzania nchini Korea Togolani Mavura akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Jukwaa hilo kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Kibiashara kati ya Tanzania na Korea kwenye hoteli ya Mondrian iliyopo Seoul nchini Korea, Oktoba 28, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...