Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini
Korea ya Kusini, Mhe. Togolani Mavura wakati alipowasili kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Incheon nchini Korea ya Kusini Oktoba 24, 2022
kwa ziara ya kikazi nchini humo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim. Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakisalimiana na baadhi ya watanzania waishio nchini Korea ya Kusini waakati walipowasili kwenye hoteli ya Lotte iliyopo Seoul nchini humo Oktoba 24, 2022 kwa ziara ya kikazi . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...