Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Mhe.Felix Tshisekedi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar katika mazungumzo yao waligusia ushirikiano baina nchi mbili hizo ikiwemo Uchumi na Biashara.
[Picha na Ikulu] 24/10/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...