Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Waheshimiwa Wabunge, Viongozi wa Serikali pamoja na Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisaini kitabu cha maombolezo wakati wa msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimfariji Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe wakati wa msiba wa Mama Mzazi uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akishiriki katika msiba wa Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum. Mhe. Aysharose Matembe (kulia kwake) uliofanyika leo tarehe 24 Oktoba, 2022 nyumbani kwake Singida Mjini.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...