Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (kulia) kabla ya kuondoka Kampala nchini Uganda, Disemba 18, 2022 amabako alimwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya miaka 75 tangu ulipojengwa msikiti wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Makerere nichini humo. Msikiti huo ulifunguliwa na Mwanana Mfalme wa Zanzibar 1948. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uganda Dkt. Aziz Mlima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...