Waziri Mkuu leo Disemba 08, 2022 ameondoka nchini kwenda Luanda, Angola kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 10 wa wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS). Pichani Mheshimiwa Majaliwa akiagana na viongozi kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Jabir Shekimweri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...