Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (Wapili kulia)akipata maelezo kutoka kwa Injinia Yahya Said Abdalla kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (katikati)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed (kulia)akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kambi ya JKU Bambi -Kim, Luten Kanal Majaliwa Adam Waziri wakati alipotembelea Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa na Jengo la Ofisi.Katika hafla ya Ufunguzi wa Majengo hayo Bambi Kim .Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mkuu wa Jeshi la kujenga Uchumi (JKU)Kanal Makame Abdalla Daima akitoa hotuba kuhusiana na kuundwa kwa Jeshi hilo katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Dk,Khalid Salum Mohamed akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Jengo la Ofisi na Hanga la kulala Vijana wa kujenga Taifa JKU Bambi -Kim,Katika Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...