Mbunge wa Momba, Condesta Sichalwe akiwa amepiga magoti ikiwa ni ishara ya kumshukuru, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha fedha nyingi za ujenzi wa miradi ya maendeleo katika jimbo hilo wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokagua Soko la Kimataifa la Mazao ya Kilimo katika kijiji cha Kakoze Kakozi wilayani Momba, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua Soko la Kimataifa la Mazao ya Kilimo katika kijiji cha Kakozi wilayani Momba, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...