Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia, Walid bin Talal Al Saudi ambaye ndiye tajiri mkubwa kabisa nchini humo, Februari 21, 2023 katika jengo la Kingdom Tower jijini Riyadh. Katika mazungumzo yao, Bw Al Waleed ameahidi kusaidia fedha kwa ajili ya kutunisha Mfuko wa Utamaduni na Sanaa pamoja na kutoa misaada mingine kwenye tasnia ya Sanaa kupitia taasisi yake ya Al Waleed Philanthropies. Katibu Mkuu Yakubu aliambatana na Mheshimiwa Ali Mwadini, Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...