Mgeni rasmi Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude(katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika leo katika ofisi za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu.
Mgeni rasmi Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude akizungumza akizungumza na wajumbe wa Bodi ya NBAA, wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika katika Ukumbi wa Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza kuhusu namna mfumo huo takavyofanya kazi pamoja na namna walivyojipanga kuusimamia wakati wa wakati wa Uzinduzi wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza wakati wa kutambulisha wageni waalikwa pamoja na kutoa Taarifa wakati wa Uzinduzi wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha TEHAMA kutoka NBAA, Juma Mpuchali akitolea ufafanuzi kuhusu mfumo wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao mara baada ya kuzinduliwa na Mgeni rasmi Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude leo katika ofisi za Bodi hiyo jijini Dar es Salaam.
CPA. Dkt. Neema Msusa akiwasilisha mada mara baada ya mgeni rasmi Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude kuzindua miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika leo katika ofisi za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia Uzinduzi wa miundombinu ya kufundishia kwa njia ya mtandao uliofanyika leo katika Ukumbi wa Bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...