
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), wakati alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja
na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Wengine pichani ni Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson (wapili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (katikati) na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson wakiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge, wateja
na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya futari alikua ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa aliyeambatana na Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akizungumza wakati wa hafla
ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge,
wateja
na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Mgeni Rasmi katika hafla hiyo ya futari
alikua ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa aliyeambatana na Spika
wa Bunge, Dkt Tulia Ackson.
Spika
wa Bunge, Dkt Tulia Ackson akizungumza wakati wa hafla
ya futari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Waheshimiwa Wabunge,
wateja
na wadau wa benki hiyo wa jijini Dodoma, iliyofanyika jana kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...