Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Profesa Joyce Ndalichako (kulia) akimkabidhi Meneja wa NSSF Mkoa wa Morogoro, Rose Meta (kushoto) tuzo ya ushindi wa jumla kwa Taasisi za Umma zinazotoa Huduma ya Hifadhi ya Jamii katika sekta binafsi. Rose amepokea tuzo hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi Duniani iliyofanyika kitaifa viwanja vya Tumbaku mjini Morogoro.


.jpeg)



.jpeg)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...