Watu wengi sasa
wanatarajiwakumilikisimu za smart kufuatia magulio ya simu
yanayofanyikaDar es Salaam na Mwanza. Magulio hayayatawapa wateja fursa
ya kununua simu kwa kulipiakidogokidogokupitiaprogramumaalumuiliyowekwa
na Samsung kwa kushirikiana na Tigo. Wateja wataweza kuchaguakati ya
simu ainaya A04 na A04s na kulipakuanzia 1,000/TZS kila siku kwa muda wa
mwaka mmoja.
Magulio hayoyameandaliwa na kampuni ya Tigo kwa
kushirikiana na Samsung kuanzia Aprili 17 Mlimani City Mall (Dar) na
Rock City Mall (Mwanza). Guliohilobaadayelitazinduliwa Kibo
Complex-Tegeta kuanzia Mei 4. Magulio hayoyatakamilika Mei 14, 2023
ilikuwapa wateja mwezi mzima wa kufanyamanunuzi ya simu za Samsung na
kufurahia zawadi zenyekusisimua na vufurushi.
Pamoja na
kupataunafuu wa kulipia simu hizi, wateja pia watapatauzoefu wa simu
mpya za Samsung Galaxy S23 (S23 Ultra; S23 Plus na S23)pamoja na toleo
jipya la A series (A34 na A 54 5G)
Wateja watakaonunua simu mpya
za A series(A34 na A54) wataweza kujishindia zawadimbalimbali
ikiwemochupa za kishua, coffe mugs na tisheti.
PromoshenihiiyaNunuaUshindeitaanzawakati wa Wiki ya Eid na itahusisha
pia madukamengine ya Samsung.
Simu hizizinakamerabombayenye
pixel ya hali ya juu yenyeuwezomzuri wa kuchukua video na picha
zinazong’aa na zenyemvuto. Kama haitoshi, simu
hizizinabetriimarazenyeuwezo wa kudumuna chaji kwa siku
mbilimfulululizo.
Simu
za Samsung A34 na A54 pamoja na simu zote za Galaxy S series zinakuja
na huduma ya Samsung Care+ (care plus) inayokupaulinzi wa kioochako kwa
mwaka mzima pamoja na warranti ya Miezi 24.Vigezo na
mashartikuzingatiwa.
Kwa
maelezo zaidi, wateja wanawezakutufuailiakupitiamitandao ya kijamii
@samsungtanzania (Instagram) | @SamsungTanzania (Facebook) |
SamsungMobileTz (twitter) | @tigo_tanzania (Instagram) .
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...