Mwezeshaji wa mafunzo ya mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kuthibiti maambukizi (IPC) Valentina Msechu akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutekeleza majukumu yao kwa kufuata 5’S ili kuleta tija ndani ya kazi za kila siku wakati wa mafunzo hayo ya siku tatu yanayotolewa katika Ukumbi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edward Msukwa akichangia hoja wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kuthibiti maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Afisa kumbukumbu za afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Vedastus Lazaro akielezea namna ambavyo kitengo cha kumbukumbu za afya kinavyofanya kazi wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kuthibiti maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mohamed Isambula akichangia hoja wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kuthibiti maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kuthibiti maambukizi (IPC) leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam
Picha na: JKCI


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...