Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha tuzo aliyopokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo ilitolewa na Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) kwa kutambua utendaji kazi wake bora, alipomuwakilisha Rais katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo uliyofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. 9Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



iongozi na Wanachama wa Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Taasisi ya Maboresho Katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa (TOA) alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Mkutano wa Taasisi hiyo kwenye Ukumbi wa Jiji la Dodoma, Mtumba Aprili 04, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...