Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant).

Katika ziara hiyo, Katibu Mkuu ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Oganaizesheni Issa Ussi Gavu.



 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...