"Kwanza Mhe. Spika Tumshukuru sana huyu Mtu, Kwa kuwa na wazo hili la hiki kiwanda ndani ya nchi yetu." 

Hayo yamesemwa leo na Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga wakati akipongeza kiwanda cha GF kinachozalisha magari.

Amesema kuwa anafahamu watu kadhaa walijaribu kuanzisha kiwanda hapa Tanzania wakashindwa. 

"Lakini huyu ndugu yetu kaanza muda si mrefu sasa hivi progress yake ni nzuri sana. Ameshafikua kuzalisha magari mpaka 700. Na malengo yake mwaka huu anaenda kuzalisha magari 1200. 

Kwa kweli Mhe. Spika watu wa namna hii wanapaswa Kupongezwa, na Kitu cha ziada wanapaswa kulindwa ndani ya nchi yetu."

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...