LG imefanya kweli tena baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Ukanda wa Afrika Mashariki Bw Dongwon Lee kungoza watendaji na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika Semina ya Mawakala (Dealers Seminar) ya aina yake Jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine mawakala hao walipewa mafunzo maalumu kuhusu teknolojia mpya za LG na baadaye wakashiriki katika kipindi cha maswali na majibu ambapo washindi walijinyakulia zawadi mbalimbai za kusisimua kutoka LG. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Balozi wa Korea nchini Bw KIM, Sun Pyo na Balozi wa India nchini Bw Binaya Srikanta Pradhan.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...