Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt  Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kushoto na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe (MB), wakishiriki Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha  na Uwekezaji wa jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), uliofanyika Mjini Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC)

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt  Mwigulu Lameck Nchemba  akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya  Mawaziri wa Fedha  na Uwekazaji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa SADC uliohusu Mapitio ya Uchumi Mpana wa Jumuiya hiyo, uliofanyika mjini Kinshasa,  Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC)

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Kinshasa, Congo DRC)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...