Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya Kanda ya Kusini ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Mtwara, Julai 06, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe, wakati alipozindua Ofisi ya Kanda ya Kusini ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Mtwara, Julai 06, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua Ofisi ya Kanda ya Kusini ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Mtwara, baada ya kuizindua, Julai 06, 2023. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Frank Nyabundege (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...