
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo cha AFYA CHA Mama na Mtoto huko katika kijiji cha Kizimkazi Dimbani kusini Unguja alikokwenda kuweka jiwe la msingi la Kituo hicho kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 77 leo tarehe 05.07.2023. wapili ni mfadhili wa Ujenzi wa Kituo hicho ndugu Mohammed Jamal Alsaid. Picha na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akipokelewa na waziri wa Afya wa ZANZIBAR Mhe. Nasro Ahmed Mazrui mara Mhe Othman alipowasili katika kijiji cha Kizimkazi Dimbani alikokwenda kuweka jiwe la msingi la Kituo cha AFYA Cha MAMA na MTOTO kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 77 leo tarehe 05.07.2023. anayeangalia ni mfadhili wa Ujenzi wa Kituo hicho ndugu Mohammed Jamal Alsaid. Picha na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...