Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akitoa elimu wananchi waliofika katika Banda la Bodi hiyo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu kwenye Banda la Bodi hiyo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Udahili kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Faraja Machibya(kushoto) alipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno (kushoto) akizungumza jambo alipotembelea Banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) mara baada ya kupata maelezo kwenye banda hilo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Katikati ni Afisa Udahili kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Faraja Machibya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Lilian Mpanju alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA, Magreth Kageya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Lilian Mpanju alipotembelea Banda hilo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu katika Banda la Baraza la Taifa la Elimu la Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) alipotembelea bando hilo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Mratibu Mwandamizi wa Idara ya Uendeshaji wa Vyuo NACTVET, Deborah Ngalemwa.
Afisa Masoko na Mawasiliano wa NBAA, Magreth Kageya (katikati) akizungumza jambo wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno alipotembelea Banda la Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu kwenye Banda la Vyuo vya Nje katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno aakisikiliza maelezo kwenye Banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa kwenye picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Bodi hiyo kwenye Banda la Bodi hiyo katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...