Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Ludovick Nduhiye, akihutubia Menejimenti na Wafanyakazi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (hawako pichani), kwenye kikao cha faragha cha Bodi hiyo kinachofanyika kwa siku mbili mkoani Singida.Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Mhandisi Rashid Kalimbaga, akisoma taarifa yake kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Ludovick Nduhiye (hayupo pichani), wakati wa ufunguzi wa kikao cha faragha cha Bodi hiyo kinachofanyika kwa siku mbili mkoani Singida.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Xavier Daudi, akiongelea Suala la kuimarisha ari na morali kwa watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara katika utekelezaji wa majukumu yao ya kiutumishi. Aliyeketi kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi wa Bodi hiyo Abdallah Mtey.Baadhi ya Watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Ludovick Nduhiye, wakati akifungua Kikao cha Faragha cha Bodi hiyo kinachofanyika kwa siku mbili mkoani Singida.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) Ludovick Nduhiye (aliyeketi katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Bodi ya Mfuko wa Barabara, baada ya kufungua kikao cha faragha cha Bodi hiyo kinacho fanyika mkoani Singida. Kulia kwa Nduhiye ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Xavier Daudi, kulia kwake ni Kaimu Meneja Mfuko wa Barabara Mhandisi Rashid Kalimbaga, Wengine ni Meneja Msaidizi Utawala na Fedha wa Bodi John Aswile (kulia) na Meneja Msaidizi Mapato wa Bodi Godlove Stephen (Kushoto).


Picha na Bodi ya Mfuko wa Barabara





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...