NDUGU Mteja kama unataka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ukiwa na Meridianbet, sasa muda ndio huu unachotakiwa kufanya ni kutembelea duka la Meridianbet ndani ya Saba Saba na uweze kucheza michezo hiyo.

Na kucheza michezo hiyo kutakufanya usiondoke patupu bali utaweza kujikusanyia zawadi kibao sana ikiwemo tisheti za Meridianbet, bonasi ya shilingi elfu hamsini, bonasi ya shilingi Laki moja, mizunguko ya bure na kujisajili na Meridianbet ni bure kabisa.

Ukifika katika banda la Meridianbet pale Saba Saba utaonyeshwa huduma mblaimbali ambazo wamekuletea msimu huu ikiwemo kuzungusha gurudumu la kuchagua zawadi baada ya kuwa umeshinda mchezo wa PIA PREMIUM ndani ya meridianbet.

Baada ya hapo utaweza kujipatia zawadi ambayo umeweza kujipatia, hivyo wahi mapema sana huenda bonasi zinakusubiri wewe kwa hamu sana ujiweke kwenye nafasi kubwa ya kutimiza ndoto zako ambazo mwanzo ulijiwekea.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Meridianbet wanatoa ODDS KUBWA sana kwenye mechi zao za kila siku, na pia zina machaguo mengi, ingia na uweze kufanya ubashiri. Pia kuna michezo ya kasino ya mtandaoni ambayo inatolewa na Meridianbet kama Aviator, Poker, Roullette, Poker, Piggy Party ambayo hii yote inatajirisha watu kila siku. Ingia Sasa na ucheze.

Kujisajili ni rahisi ingia www. Meridianbet.co.tz ujisajili sasa au piga *149*10# kwa USSD pia unaweza kubashiri bila bando au ukiwa hata na kitochi, yani kila kitu ni rahisi ukiwa na Meridianbet.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Meridianbet pia kupitia Mhariri wao Nancy Ingram wanasema hivi kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataingia ndani ya duka lao la Meridianbet atashiriki kucheza mchezo wa kasino ya mtandaoni PIA PREMIUM na akashinda demo hiyo atapewa ofa ya kuzungusha gurudumu na kuweza kujua zawadi aliyoshinda.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baadhi ya zawadi hizo ambazo zinapatikana kwenye gurudumu hilo ni pamoja na tisheti la Meridianbet, Bonasi ya shilingi elfu 50, bonasi ya shilingi laki 10,0000, na kupewa mizunguko ya bure na nyingine nyingi zinazopatikana hapo.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...