Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt.Pindi Chana (katikati) akipata elimu kutoka kwa Afisa Usajili na Uthibitishaji wa Madereva LATRA, Daniel Chilongani(kulia) kuhusu mamlaka hiyo inavyodhibiti mwendo wa madereva alipotembea Banda la Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Uhusiano LATRA Mambwana Jumbe.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt.Pindi Chana akipata maelezo kutoka Afisa Uhusiano LATRA Mambwana Jumbe kuhusu kazi zinazofanywa na Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) alipotembelea Banda la Mamkala hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt.Pindi Chana (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Uhusiano LATRA Mambwana Jumbe (kushoto) kwa niaba ya uongozi wa Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) alipotembelea Banda la Mamkala hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas akizungumza jambo alipotembelea Banda la Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Uhusiano LATRA Mambwana Jumbe.
Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas akisaini kitabu cha Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) alipotembelea Banda hilo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 
Kamishna wa Fedha na Lojistiki CP Liberatus Sabas (kulia) akipokea zawadi kutoka  kwa Afisa Uhusiano LATRA Mambwana Jumbe (kushoto) kwa niaba ya uongozi wa Mamlaka ya udhibiti wa usafiri nchi kavu (LATRA) alipotembelea Banda la Mamkala hiyo kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya 47 kwenye Viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...