Baadhi ya Shule za Msingi na Sekondari halimashauri ya Manispaa na Mkoani Shinyanga zinakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyoo kwa Walimu na Wanafunzi.
Hoja hiyo imeibuliwa na Madiwani wa Halimashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwenye kikao cha kawaida cha baraza la madiwani robo ya nne ya mwaka wakati wakiwasilisha taarifa za shughuli za maendeleo kwenye kata zao hali inayotajwa kujisaidia kwa wanafunzi sehemu ambazo si salama.
.Katibu tawala wa Wilaya ya Shinyanga Said Kitinga ameitaka halimashauri ya Manispaa ya Shinyanga kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto hiyo huku Msitahiki Meya Manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko akieleza jitihada zinazofanyika kutatua changamoto hiyo



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...