Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora leo tarehe 30 Agosti 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushiriki nao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora leo tarehe 30 Agosti 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya msingi Tabora Viziwi mara baada ya kushiriki nao Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Kuu Katoliki la Mtakatifu Teresa Jimbo Kuu Tabora leo tarehe 30 Agosti 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...