RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini .{Picha na Ikulu] 26/08/2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi D.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Umoja wa Wamasai Zanzibar Ndg,Thomas Malali wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi(KIZIMKAZI DAY) lililofanyika viwanja vya Kashangae Paje,Wilaya ya Kusini .{Picha na Ikulu] 26/08/2023.
Rais akiangalia wanyama katika sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi leo huko Paje Wilaya ya Kusini Unguja viwanja vya Kashangae ,[Picha na Ikulu]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya kashangae Paje Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja Katiba uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi Day .[Picha na Ikulu] 26/08/2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...