Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete
wakitazama madini mbalimbali ya metali wakati walipotembelea banda la
Kampuni ya Mineral Access Tanzania Limited inayojihusisha na uchimbaji
na ununuzi wa madini, katika maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa
Lindi yaliyofanyika mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26,
2023. Kushoto ni Waziri wa madini, Doto Biteko na wa nne kushoto ni Mke
wa Rais wa Awmu ya Nne Mama Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na
Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya chuma wakati
walipotembelea banda la Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika
Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini
Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na
Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya Bunyu wakati
walipotembelea banda la Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika
Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini
Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. Kushoto ni Waziri
wa Madini, Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...