RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO Maalumu ya Waazilishi wa Kongamano la Maji Zanzibar, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Global Water Partnership Tanzania.(GWPTZ) Dr. Victor Kongo, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023 na (Kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Maji Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023.
WASHIRIKI wa Kongamano la Maji Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwakilishi wa Taasisi ya ORASECOM.Ndg.Boniface Mabeo, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mchambuzi wa Sera wa Taasisi ya Uongozi Ndg. Emmanuel Alfred, alipotembelea mabanda ya maonesho, kabla ya kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa Maji,Usafi na Mazingira wa UNICEF Ndg. Marko Msambazi alipotembelea maonyesho, kabla ya kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja leo 16-8-2023 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara na Naibu Waziri wa Maji Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...