Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji hilo Prof. Davis Mwamfupe pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndg. John Kayombo leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji hilo Prof. Davis Mwamfupe (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ndg. John Kayombo (wa kwanza kulia) leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Ndg. John Kayombo wakati alipomtembelea leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akisalimiana na kuteta jambo na Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis Mwamfupe wakati alipomtembelea leo tarehe 21 Agosti, 2023 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...