Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akisaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Uchukuzi) Bw. Gabriel Migire (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA) Hamza Johari, mara baada ya kusaini mkataba wa kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma.
PICHA NA WUU
Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari (kulia waliokaa) pamoja na watumishi wa sekta ya Uchukuzi, mara baada ya kusaini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Hamza Johari akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw Gabriel Migire wakati wa utiaji saini Mkataba wa Kiutendaji kwa mwaka 2023/24, Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...