Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizungunza katika uzinduzi Mradi wa Uwekezaji wa Afya ya Mama na Mtoto Tanzania leo tarehe 23.08.2023 huko katika Uwanja wa Ndege Mjini Zanzibar lkatika hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki. Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi. Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud
Othman akisalimiana na Naibu waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Festus Lugambo na katikati ni Naibu
waziri wa Afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Godwin Mole HUKO HOTELI YA Golden Tulip Kiembesamaki
mara baada Mhe. Othman kuwasili kwa ajili ya uuzinduzi wa program
ya uwekezaji katika afya ya mama
na mtoto leo tarehe 23.08.2023. . Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi . Picha
na Ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...