Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho ambazo hazijabangulia, wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho, katika kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo Agosti 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho zilizokua teyari kuuzwa, wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho, katika kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo Agosti 13, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho Aldina Azizi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara,  wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho katika kiwanda hicho Agosti 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua bomba la maji wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwatua wakinamama ndoo za maji, wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...