Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii Dkt. Florian Mtey, wakisaini Hati ya Makubaliano na Mashirikiano baina ya Jeshi la Polisi na Chuo cha Taifa cha Utalii, kwenye hafla hiyo IGP Wambura amesema Jeshi la Polisi ni mdau muhimu wa Sekta ya utalii hapa nchini ikiwemo kulinda usalama wa raia na mali zao pamoja na usalama wa Watalii wote wanaotembelea vuvutio vyetu, hafla hiyo ya utiaji Saini  imefanyika 22/09/2023 jijini Arusha. Picha na Jeshi la Polisi

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...