Rais Mstaafu Dkt. Jakata Mrisho Kikwete akiwa na  Mheshimiwa Ellen Johnson Sirleaf, Rais Mstaafu wa Liberia (kati) na Mheshimiwa Michelle Bachelet, Rais Mstaafu wa Chile wakiwa tayari kutoa mafunzo maalumu kwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali yanayoendelea katika Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard jijini Boston, Marekani.

Rais Mstaafu Dkt. Jakata Mrisho Kikwete akiwa na Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu wanoshiriki kutoa mafunzo hayo. Katikati ni Mheshimiwa Ellen Johnson Sirleaf, Rais Mstaafu wa Liberia, wa pili kushoto ni  Mheshimiwa Michelle Bachelet, Rais Mstaafu wa Chile; Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia na kushoto ni mwenyeji wao wakiwa tayari kutoa mafunzo maalumu kwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali yanayoendelea katika Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard jijini Boston, Marekani.

 Mheshimiwa Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jijini Boston, Marekani,  katika picha ya pamoja ya viongozi wastaafu na Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka mataifa mbalimbali yanayoendelea wanaohudhiria mafunzo maalumu ya Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard.

Mheshimiwa Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  Mheshimiwa Ellen Johnson Sirleaf, Rais Mstaafu wa Liberia; Mheshimiwa Michelle Bachelet, Rais Mstaafu wa Chile; Mheshimiwa Hailemariam Desalegn, Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia; na Mheshimiwa Luisa Diogo, Waziri Mkuu Mstaafu wa Msumbiji, wakiwa tayari kutoa mafunzo maalumu kwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali yanayoendelea katika Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard jijini Boston, Marekani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...