Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya akisoma hotuba yake kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza kuhusu namna Bodi hiyo ilivyofanikisha kutoa wahitimu pamoja na mafanikio ya Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akitoa ufafanuzi kuhusu Bodi hiyo inavyofanya kazi zake kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na wahitimu wa Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo hoteli ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wahitimu pamoja na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Wahitimu wa ngazi ya CPA wakisoma viapo vyao wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya akiwatunuku wahitimu wa  kwenye mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Wahitimu wakishangilia mara baada ya kumaliza kusoma viapo vyao wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju mkoani Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa vyeti kwa baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri kwenye mitihani ya Bodi wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye ngazi za ATEC, CPA, na IPSAS wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Wahitimu wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) wakiwa kwenye maadamano ya kitaaluma wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha (Usimamizi na Uchumi) Elijah Mwandumbya aliyemwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akipokea maadamano ya kitaaluma pamoja na viongozi wa Bodi pamoja na wajumbe wa Bodi hiyo wakati wa mahafali ya 45 ya Bodi hiyo yaliyofanyika leo katika hoteli ya APC Bunju, Dar es Salaam.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...