Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Budapest nchini Hungary leo tarehe 13 Septemba 2023. Makamu wa Rais anatarajia
kumwalikisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.
Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Tano kuhusu Idadi ya Watu (5th
Budapest Demographic Summit) litakalofanyika tarehe 14-15 Septemba 2023.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...