Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili mkoani humo, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD), jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akimsikiliza mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, wakati alipofika katika ofisi yake kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati alipofika katika Ofisi ya  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella, kabla ya kuanza ziara yake ya siku mbili, iliyolenga kutatua changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD, jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) (wa pili kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Arusha, ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. John Mongella (wa tatu kushoto), baada ya mazungumzo yao katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo, ambapo anafanya ziara ya siku mbili mkoani humo kusikiliza changamoto mbalimbali wanazopitia wafanyabiashara na kuhamasisha matumizi sahihi ya Mashine za Kieletroniki za kutolea risiti (EFD).

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha)

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...