BAADA ya Wikendi hii mechi kuchezwa mbalimbali, pia leo na kesho mechi za Carabao Cup raundi ya 3 Uingereza zinaendelea na zipo kwaajili ya kukupatia pesa yani kukutajirisha vilivyo kwa dau lako dogo tuu. Ingia www.meridianbet.co.tz uanze kutimiza ndoto zako za kuwa Milionea.

Mechi hizi za Carabao zitaendelea hapo kesho kwa michezo zaidi ya 7 ambapo Newcastle United atakuwa nyumbani dhidi ya Manchester City ambaye ni bingwa mtetezi wa Epl. Timu hizi zimekutana kwenye ligi msimu huu huku vijana wa Pep Guardiola wakiwa wanapendelewa kushinda mechi hii ndani ya Meridianbet wakiwa na ODDS ya 2.33 kwa 2.69. City haijapoteza mechi yoyote mpaka sasa huku Howe akiwa ameshapoteza mechi 3 mpaka sasa. Beti yako unaipeleka wapi?

Chelsea baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita, atakuwa Stamford Bridge hii leo kukipiga dhidi Brighton ambayo ni ya moto kweli kweli. Msimu uliopita walipokutana The Blues amekufa mechi zote mbili kwenye ligi. Je Pochettino na vijana wake wataweza kutoka kesho mbele ya De Zerbi?

Kule Anfield Jogoo atamenyana dhidi ya Leicester City ambayo kwasasa inshiriki ligi daraja la kwanza baada ya kushuka msimu uliopita na ndio kinara kwenye msimamo wa ligi hiyo. Liverpool ya Jurgen Klopp kuondoka na ushindi mechi hii amepewa ODDS ya 1.44 kwa 5.68. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Brenford ambayo msimu huu bado inajitafauta itamleta nyumbani Arsenal ya Mikel Arteta. Nyuki kwenye mechi zake sita akshinda moja pekee huku The Gunners wameshinda nne. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...