Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Bomani tarehe 17 Septemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika kwenye uwanja Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023. 

Wananchi wa Masasi wakiwa kwenye shamrashamra za kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Bomani, Masasi Mkoani Mtwara tarehe 17 Septemba, 2023.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...