Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo kuhusu teknolojia mbalimbali na jitihada zinazofanywa na wadau wa utunzaji wa mazingira ikiwemo matumizi ya nishati safi ya kupikia na rafiki kwa mazingira, alipotembelea mabanda ya maonesho wakati wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi, Kenya Septemba 06, 2023.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo (aliyekaa katikati) pamoja na akiwa pamoja na Mshauri wa Rais katika masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi Dkt. Richard Muyungi (aliyekaa kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na vijana wa kitanzania wanaojishughulisha na shughuli za hifadhi ya mazingira katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wakati wa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika uliofanyika Nairobi, Kenya Septemba 06, 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...