
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa taifa kabla ya kuzindua Mpango Mkakati wa AMREF Health Africa Tanzania wa Mwaka 2023-2030 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Septemba 15, 2023. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya AMREF Tanzania Anthony Chamungwana, Mkurugenzi Mkaazi wa AMREF Tanzania, Dkt. Florence Temu, Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui , na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa AMREF Tanzania, Dkt. Florence Temu kuhusu historia ya AMREF nchini kabla ya kuzindua Mpango Mkakati wa AMREF Health Africa Tanzania wa Mwaka 2023-2030 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Septemba 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi wa AMREF nchini, Dkt. Florence Temu kabla ya kuzindua Mpango Mkakati wa AMREF Health Africa Tanzania wa Mwaka 2023-2030 kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Septemba 15, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kuzindua Mpango Mkakati wa AMREF Health Africa Tanzania wa Mwaka 2023-2030, Septemba 15, 2023. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya AMREF Tanzania Anthony Chamungwana, Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui , Mkurugenzi Mkaazi wa AMREF Tanzania, Dkt. Florence Temu na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...