
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Vyumba mbalimbali vya uchunguzi na kutolea huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...