Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Naibu Spik awa Bunge la Tanzania Mhe.
Mussa Azzan Zungu, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye
Mpango pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria kupokea ndege mpya
ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9 iliyowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Oktoba 2023.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.
Mussa Azzan Zungu, Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Dkt. Moses Kusiluka, mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango pamoja
na viongozi wengine katika picha ya pamoja mara baada ya kupokea ndege mpya ya
abiria aina ya Boeing 737- MAX9 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam leo tarehe 03
Oktoba 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishuka katika ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9 mara baada ya kuipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Oktoba 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango katika ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9 mara baada ya kuipokea ilivyowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam leo tarehe 03 Oktoba 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa hafla ya kupokea ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar es salaam. (tarehe 03 Oktoba 2023)
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na marubani pamoja na
watumishi wa shirika la ndege nchini ATCL mara baada ya mapokezi ya ndege mpya ya abiria aina ya Boeing 737- MAX9
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Jijini Dar
es salaam leo tarehe 03 Oktoba 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...