MDH imeendelea kufanya vizuri katika tuzo za Uandaaji Bora wa Hesabu ambapo kwa mwaka huu imeweza kushika nafasi ya kwanza katika Tuzo za Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) zilizofanyika Disemba 1, 2023 jijini Dar es Salaam,

"MDH ilishinda kama Mshindi wa kwanza wa Taarifa ya Fedha iliyowasilishwa Bora kwa mwaka wa 2022 katika kitengo cha Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yanayoripoti kwa kutumia IPSAS. Tuzo hii ilitolewa na Bodi ya Kitaifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye Kongamano la Mwaka la 2023 la NBAA. Kwa miaka miwili mfululizo (2020 na 2021) MDH imekuwa Mshindi wa Pili kwenye kitengo kimoja. “Tuzo hii inaonyesha uaminifu, uwajibikaji na uwazi kwa serikali, washirika, wakiwemo wafadhili wetu na watu tunaowahudumia,” Alisema CPA. Damasco Peter, Mkurugenzi wa Fedha MDH.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...