Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkaribisha Mgeni wake Rais waBenki ya Dunia Mhe.Ajay Banga wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo.[Picha na Ikulu] 05/12/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu] 05/12/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi Mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga baada ya kumalizika mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 05/12/2023. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Rais waBenki ya Dunia Mhe.Ajay Banga wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu] 05/12/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Mhe.Ajay Banga (katikati) wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu] 05/12/2023.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...