Mshindi wa shindano la Maokoto kutoka Wilaya Kilosa linaloendeshwa kupitia vinywaji vya kampuni ya bia ya Serengeti SBL , Maimuna Ally (kushoto) akipokea hundi ya mfano ya TSh 500,000 kutoka kwa Mwakilishi wa mauzo wa kampuni ya SBL Shomari Mohammed, hafla ya kukabidhi zawadi hiyo imefanyika Dumila Bar iliopo Dumila wilayani Kilosa Mkoani Morogoro Tabora Azaria Mbughuni, wakati wa hafla ya makabidhiano kwenye bar ya Serengeti.
Meneja wa Savoy Bar Given Micheal(kulia) akitoa neno la shukrani wakati akipokea hundi ya shilingi laki tano kwa niaba ya mmoja wa washindi wa droo ya nane ya Serenegetu Maokoto ndani ya kizibo Karisto Alfred kutoka kwa Balozin wa kampeni hilo Bill Nas (kushoto) wikiendi hii Buza, Dar es salaam.

Mwakilishi wa Serengeti Breweries Ester Kadinda (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi laki tano mmoja wa washindi nane wa Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo Nashnati kayombo wakati wa hafla fupi iliyofanyika Chantaburi Bar iliyopo Ruvuma wikiendi hii.
Mshindi wa promosheni ya maokoto ndani ya kizibo mzunguko wa nane Mrashan Kilabila(kulia) akipokea mfano wa hundi yake kutoka kwa Afisa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Desdelius Method, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika kwenye bar ya Mwanza live.
Mwakilishi wa Serengeti Breweries Ester Kadinda (kulia) akimkabidhi hundi ya shilingi laki tano mmoja wa washindi nane wa Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo Nashnati kayombo wakati wa hafla fupi iliyofanyika Chantaburi Bar iliyopo Ruvuma wikiendi hii.
Mmoja wa washindi wa Sefrengeti Ndani ya Kizibo Beatrice Mwazembe (kulia) akipokea hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa mwakilishi wa Serengeti Breweries Limited Doreen Tagalile wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi fedha hizo eneo la Buza jijini Dar es salaam wikiendi hii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...