*Sloti ya Wild West Riches

ILE Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni sloti ya Wild Wild West Riches humu kuna unyama mwingi na jambo kubwa ni kuwa kila ukicheza unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni inakupa ushindi mpaka mara 4608 ya dau lako kupitia Jakipoti Bonanza la Meridianbet kasino ya mtandaoni.

Jinsi ya Kushinda Sloti ya Wild Wild West Riches

Unapoingia kwa mara ya kwanza kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unahitaji kujisajili na kisha kuongeza salio na kuchagua mchezo wa sloti hii. Unapocheza sloti ya Wild West Riches, unatakiwa kuangaza macho yako kwenye mtungi wenye dhahabu. Mtungi huu utakupatia bonasi ya kukusanya pesa/Money Collect.

Unaweza kuvuna pesa kibao au kuzidishiwa dau lako maradufu kila unapoipata bonasi hii. Kumbuka, bonasi ya Money Collect inaweza kuzidisha dau lako mpaka mara 500.

Ule usemi wa Meridianbet ni nyumba yenye bonasi kubwa, namaanisha! Hawaishii hapo tu. Kupitia sloti ya Wild Wild West Riches, una nafasi ya kushinda mpaka mizunguko 20 ya bure kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet.

Ingia mchezoni hapa kumbuka unaweza kushinda mara dufu na jakipoti kibao za kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kushirikiana na waandaaji wake. Endelea kufurahia kasino ya mtandaoni na kujiweka karibu zaidi na ushindi.

NB: Katika kuhakikisha Msimu huu wa Sikukuu unaburudika, Meridianbet wanatoa mizawadi kedekede ikiwemo Bajaji kwa Tsh 500/= cha kufanya bashiri mechi mbalimbali kwa kupiga *149*10#

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...