


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na kuzungumza jambo na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, baada ya ibada ya kuwekwa wakfu (kukaribishwa kazini) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kuwa Mkuu Mpya wa KKKT, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni maalum, iliyofanyika Jumapili, Januari 21, 2023, katika Kanisa la Azania Front, jijini Dar Es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...